Mponela

Maduka ya kando ya barabara katika Mponela II
Maduka ya kando ya barabara katika Mponela II

Mponela ni mji ulioko kati ya Malawi.

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 24,543[1].

  1. City Population: Cities, Towns & Urban Localities The population of all Malawian cities, towns and urban localities with more than 5,000 inhabitants according to census results, iliangaliwa 12 Januari 2022

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne