Mtayarishaji wa Muziki ni mtu anayechukua hatua ya kufanya myenendo ya rekodi za muziki, ambaye anataka kufanana kabisa na mwongozaji wa filamu pale anachokua hatua ya kuongoza filamu. Mtayarishaji wa muziki husaidia wanamuziki na wasanii wanaofanya rekodi zao za nyimbo moja-moja au albamu iliyokamili.