Mtayarishaji wa filamu ni mtu anayeanzisha mandhari ya utengenezaji wa filamu. Mtayarishaji hutazama na kudhibiti vitu kama vile upatikanaji wa fedha ili kutengeneza filamu, kuajiri watu, na kupanga maandalizi ya kupeleka filamu kwa wasabambazaji. Matayarishaji wa filamu hu-husika katika kila sehemu ya uchakataji wa utayarishaji wa filamu kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mradi. Kikawaida, huhesabiwa kama mfanyakazi mkuu na hana mamlaka na upande udhibiti wa usanii katika utangenezaji wa filamu, wakati mwongozaji ni kiongozi katika kupiga filamu na sehemu ya usanii.