Mtemi

Mtemi Mirambo mwaka 1880

Mtemi ni cheo cha mtawala wa kijadi hasa upande wa bara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye hapo zamani alitawala dola lenye mamlaka kamili katika nchi yenye watu hasa wa jamii moja. Mfano mmojawapo ni Mtemi Mirambo.[1]

  1. admin on October 20, 2022. "Mtemi Mirambo, Shujaa anayeimbwa Afrika Mashariki na Kati – Tanzania Safari Channel" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-01-13. Iliwekwa mnamo 2024-01-13.{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne