Mto Akobo

Beseni la Mto Sobat.

Mto Akobo unapatikana magharibi mwa Ethiopia na mashariki mwa Sudan Kusini.

Ni tawimto la mto Pibor linalopokea kwanza maji ya matawimto Cechi, Chiarini na Owag upande wa Ethiopia, halafu Neubari, Ajuba na Kaia upande wa Sudan Kusini.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne