Mto Atot

Mto Atot unapatikana katika kaunti ya West Pokot nchini Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne