Mto Gishororwe ni korongo la mkoa wa Rutana (Burundi mashariki) ambalo maji yake yanatiririka hadi ziwa Tanganyika. Baadaye, mengine yanachangia mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.
Developed by Nelliwinne