Mto Haddas

Mto Haddas (pia: Hadas) ni korongo linalopatikana Eritrea na kuishia katika Bahari ya Shamu baada ya kuungana na mto Comaile na mto Aligide.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne