Mto Ishasha

Mito na maziwa ya Uganda.

Mto Ishasha unaanzia nchini Uganda (wilaya ya Kabale) na kuwa sehemu ya mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Unachangia ziwa Edward ambalo kupitia mto Semliki linapeleka maji yake katika ziwa Albert na hatimaye katika mto Naili.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne