Mto Isiolo

Mto Isiolo unapatikana nchini Kenya katika kaunti ya Isiolo.

Ni tawimto la mto Ewaso Ng'iro, tawimto la mto Lagh Dera, ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne