Mto Jikawo

Mto Jikawo unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia hadi mpakani mwa Sudan Kusini.

Ni tawimto la mto Baro.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne