Mto Kathondo

Mto Kathondo unapatikana katika kaunti ya Kirinyaga, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne