Mto Khybe

Mto Khybe unapatikana katika kaunti ya Trans-Nzoia, magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne