Mto Kimanga

Mto Kimanga ni kati ya mito ya mkoa wa Dar es Salaam (Tanzania Mashariki) ambao maji yake yanaishia katika Bahari Hindi kupitia mto Msimbazi. Urefu wake ni kilometa 3 tu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne