Mto Koitbus unapatikana katika kaunti ya Trans-Nzoia, magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).
Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.
Developed by Nelliwinne