Mto Kururu

Mto Kururu unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.

Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne