Mto Lagh Duko

Mto Lagh Duko ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya, mipakani kwa Ethiopia na Somalia.

Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne