Mto Liliaba

Mto Liliaba unapatikana katika kaunti ya Isiolo, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne