Mto Lubangalala

Mto Lubangalala ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Zambezi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne