Chanzo | Ziwa Amaramba |
Mdomo | Mto Ruvuma |
Urefu | km |
Kimo cha chanzo | m |
Mkondo | m3 |
Eneo la beseni | km2 |
Mto Lugenda (pia Lujenda au Msambiti[1]) ni mto unaotiririka kaskazini mwa Msumbiji.
Unaanza kwenye Ziwa Amaramba/Ziwa Chiuta na kuishia katika Mto Ruvuma ikiwa ni tawimto kubwa lake zaidi[2]. Unaungana na Mto Luambala pale 13°26′12″S 36°18′20″E / 13.43667°S 36.30556°E.
Upande wa kaskazini wa Ziwa Chiuta wakazi huuita Msambiti.[1] Lugenda hugawiwa sasa ka mikono tofauti yenye visiwa mbalimbali kati yao, vingine vikiwa na makazi ya watu kama vile kisiwa cha Achemponda.[3]
Kuna tembo wengi katika bonde la Lugenda. Wakazi ni hasa Wayao na Wamakua, pamoja na Wangoni, Wamaravi na Wamatambwe.[4]
{{cite book}}
: Cite uses deprecated parameter |authors=
(help)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)