Mto Lukulasi

Mto Lukulasi ni jina la miwili kati ya mito ya mkoa wa Ruvuma (Tanzania Kusini) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Zambezi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne