Mto Lumbuye

Mto Lumbuye unapatikana katika wilaya ya Kaliro, mashariki mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne