Mto Makawila

Mto Makawila unapatikana katika Mkoa wa Dodoma (Tanzania ya kati).

Maji ya mto huo yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Rufiji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne