Mto Mambeni

Mto Mambeni ni kati ya mito ya mkoa wa Tanga (Tanzania Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne