Mto Mkingasi

Mto Mkingasi ni kati ya mito ya mkoa wa Ruvuma (Tanzania Kusini) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Zambezi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne