Mto Mpandwe

Mto Mpandwe ni mmojawapo kati ya mito ya mkoa wa Katavi, Tanzania (upande wa magharibi).

Maji yake yanatiririkia Ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne