Mto Mtsatsavi

Mto Mtsatsavi (pia: Mtsatsawi) unapatikana katika Mkoa wa Iringa (Nyanda za Juu za Kusini, Tanzania).

Maji ya mto huo yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Rufiji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne