Mto Mukungwa

Mto Mukungwa unapatikana nchini Rwanda. Ni tawimto la mto Nyawarongo ambao hutiririsha maji yake hadi kuingia katika ziwa Viktoria, mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne