Mto Mururi unapatikana katika kaunti ya Kirinyaga, katikati ya Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.
Developed by Nelliwinne