Mto Naitimitim

Mto Naitimitim ni kati ya mito ya mkoa wa Manyara (Tanzania kaskazini).

Maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Pangani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne