Mto Nanyiki

Mto Nanyiki ni kati ya mito ya mkoa wa Lindi (Tanzania Kusini Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne