Mto Nyamindi unapatikana katika kaunti ya Kirinyaga, katikati ya Kenya.
Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.
Developed by Nelliwinne