Mto Ruizi (Mbarara)

Mto Ruizi (Mbarara) (pia: Rwizi) unapatikana katika wilaya ya Mbarara, magharibi mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika ziwa Mburo, ziwa Kachera, ziwa Kijanebalola, ziwa Viktoria, mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne