Mto Samji

Mto Samji unapatikana katika kaunti ya Tharaka-Nithi, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne