Mto Sengambi

Mto Sengambi ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Rufiji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne