Mto Sindo

Mto Sindo unapatikana katika wilaya ya Nebbi, kaskazini mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne