Mto Ssuninga

Mto Ssuninga ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki).

Maji yake yanaelekea Bahari Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne