Mto Vet ni tawimto la mto Vaal, Afrika Kusini.
Chanzo cha mto Vet ni kati ya Marquard na Clocolan. Hutiririsha maji yake kaskazini magharibi, kisha kukutana na mto Vaal katika bwawa la Bloemhof karibu na Hoopstad. Bwawa la Erfenis lilijengwa katika mto huo kufanikisha upatikanaji wa maji katika mji wa Theunissen.[1]