Mto Waturumani

Mto Waturumani ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini).

Maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Galana.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne