Mto Ajuba unapatikana mashariki mwa Sudan Kusini.
Ni tawimto la mto Akobo ambalo tena ni tawimto la mto Pibor ambalo maji yake yanaishia katika mto Sobat, Nile Nyeupe na hatimaye Bahari ya Kati.
Developed by Nelliwinne