Mto Colorado

Ramani ya beseni ya mto Colorado
Grand Canyon

Mto Colorado ni mto wa Marekani na Mexiko. Unajulikana hasa kutokana na bonde lake kubwa linaloitwa Grand Canyon.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne