Mto Comaile

Mto Comaile unapatikana Eritrea na kuishia katika Bahari ya Shamu baada ya kuungana na mto Haddas na mto Aligide.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne