Mto Gibe unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.
Unachangiwa maji na mto Amara, mto Alanga na mto Gilbel Gibe.
Ndio tawimto kubwa zaidi la mto Omo, ambao unatokana na muungano wa mto Gibe na mto Wabe na unaishia katika ziwa Turkana.
Developed by Nelliwinne