Mto Gilgel Gibe (yaani Gibe Mdogo) unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.
Ni tawimto la mto Gibe, ambao ni tawimto la mto Omo. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.
Developed by Nelliwinne