Mto Gojeb unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.
Ni tawimto la mto Omo, ambao unatokana na muungano wa mto Gibe na mto Wabe na unaishia katika ziwa Turkana.
Developed by Nelliwinne