Mto Luambala

Mto Luambala ni mto wa Msumbiji (mkoa wa Niassa) unaoungana na mto Lugenda. Maji yake yanaishia katika Bahari ya Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne