Mto Lukigura

Mto Lukigura ni mto wa Tanzania mashariki, unaotiririka hadi kuingia mto Wami ambao unaishia katika Bahari Hindi magharibi kwa Zanzibar.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne