Mto Maze unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.
Ni tawimto la mto Gibe ambao unapoungana na mto Wabe unaunda mto Omo unaoishia katika ziwa Turkana.
Developed by Nelliwinne