Mto Msimbazi (Dar es Salaam)

Beseni la mto Msimbazi jijini Dar es Salaam.

Msimbazi ni kati ya mito ya mkoa wa Dar es Salaam (Tanzania Mashariki) ambao maji yake yanaishia katika Bahari Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne