Mto Niagara

Mto Niagara kutoka angani.
Ramani.

Mto Niagara ni mto wa Amerika ya Kaskazini. Ni mto mfupi baina ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario wenye urefu wa km 56.

Mto huo unapatikana kati ya Kanada (Ontario) na Marekani (New York).

Maporomoko ya Niagara (kwa Kiingereza:Niagara Falls) ni maporomoko mashuhuri ya Mto Niagara.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne